Naomba kujuzwa kuhusu taarifa za vyuo vya kilimo (MATI) CERTIFICATE na DIPLOMA -2014/2015

Ndilla

Member
Dec 22, 2012
44
95
Habari zenu Wanajamvi,
Naomba kujuzwa kuhusu taarifa mahsusi za utaratibu, muda maalum na kiwango cha pesa cha kuwawezesha wanafunzi.
Kumekuwa na tetesi nyingi zisizo na uhakika hata wengine kuna uwezekano field yenyewe kutoweka lakini pia hata ofisi za chuo wamekuwa ki (Chuo cha kilimo MATI-MTWARA)... tetesi zimekuwa nyingi na zinachanganya!
Naomba msaada wenu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom