Niaje wakuu,
Basi kwa wale university graduates wenzangu katika tasnia ya banking and finance ambao wanatarajia kufanya mitihani ya TIOB( Tanzania Institute Of Bankers) kwaajili ya cheti cha cpb...
Jamani mimi mimesoma BED PSYCHOLOGY lakin Bed psychology especially PSYCHOLOGY ni pqna sana na kuna kuna course kibao kama Education psychology.Aging Psychology.Industrial psychology.Women...
Kuna tetesi na minong'ono kuwa Mtihani kidato cha sita mwaka 2015 ambao ulitarajiwa kufanyika mwezi Mei,Sasa umerudishwa nyuma na utafanyika mwezi Machi.
Sababu ikiwa ni suala zima la uchaguzi...
Habari zenu wanajamvi...! Kuna mkasa hapa umenishangaza kidogo.
Kumekuwa na tabia ya wakuu wa shule kuhujumu Baraza la Mitihani kwa kupeleka walimu kufanya marking ya masomo wasiyofundisha wala...
I find this to be the most exciting news for those into physics and the science of nature of particles. Pundit na wenzake must be jovial about this. I have been following news about this for a...
Natafuta kazi ya ualimu ,mimi ni graduator wa diploma mwaka 2014 kwa masomo ya Biology na geography ila chemistry pia naiweza,sitaki tempo nataka shule za private PM 0752947177
Wadau wa jukwaa la elimu habarini za saivi.
Naombeni msaada kwa wote wanaoweza kuniwezesha kufanikiwa katika FIELD yangu kupitia taaruma ya TEHAMA/ICT ngazi ya cheti.
Ninaitaji sehemu ya kwenda...
Kiukweli kutoka moyoni napenda kuwa mwalimu, kwanza ni watu wenye maadili pia ni watu wazuri sana katika kutoa maamuzi, ni watu ambao wwa waanaongozwa na busara kuanzia kwenye akili zao na hata...
Kiujumla aliyebuni wazo la shule za kata inabidi akae chini awaze tena kwa mara ya pili namna ya kuboresha elimu kuanzia shule za msingi ndipo za kata zitaendelea.
Shule nyingi za kata zilizoko...
Jaman kunauvumi ambao umesambaa kuwa necta ya form 6 inaweza kuwa mwezi wa tatu au wa tano kama baraza la mithihani walivyotoa ratiba yao hapo awali hivyo nilikuwa naomba nipate uhahika kuwa jeeh...
Habari zenu wana jamvi, mm nina degree ya Geografia na mazingira baada ya kufanya application nyingi na kuitwa kwenye usaili pasipo mafanikio nimekaa na kutafakari kuwa nisome postgraduate ya ila...
100 Best Secondary Schools In AfricaPosted on Sat, 27th Dec 2014
There has been a marked rise of very good secondary schools all over the continent. Whilst government schools within African...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.