Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari yenu wana JF,Mimi nasoma EGM Pale KAHORORO BOYS,Ndoto zangu ni kusoma hesabu na computer. Swali langu: je, endapo nikifaulu vizuri advanced mathematics,nikachagulia kujiunga na chuo kikuu...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Naombeni mnisaidie niweze kujua ili kupata maamuzi sahihi, nashukuruni wote mtakaonisaidia.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kwa yeyote mwenye mawasliano ya moja kwa moja loyola high school iliopo mabibo farasi iwe ni mwalimu mkuu,mwl wa kawaida au hata mwanafunzi pia hata akijitokeza mwanafunzi wa pale nimuulize...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hatimaye nguvu ya umma immemshinda mutabuzi,kasimamishwa kazi na naibu waziri wa elimu!uchunguzi unaendelea
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Ndugu zangu, naomba usaidizi. Kulikuwa na tetesi wakati fulani eti viongozi wa Tanzania walikuwa na nia ya kuanzisha mfumo wa kutumia kiingereza kama medium of instruction katika shule za msingi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokana na kichwa cha habari hapo juu,mm ni mwanachuo wa chuo fulan hapa TZ,nachukua degree ya elimu(UALIMU) nimekosa mkopo na mm ndo nahangaika mwenyewe huku na huku ili niweze kupata university...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
wasaaalamu wakuuu... nimepata taarifa zisizo rasmi katika likizo hii kuwa kuanzia January mwaka 2015 wakuu Wa shule wote ambao hawana degree wanatakiwa watolewe wawekwe wenye degree je kuna...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Wadau mnisaidie hvi kwa kawaida matokeo ya VETA CBA yanatoka mwezi wa ngapi?
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Baraza la mitihani la Tanzania NECTA linatarajia kuanza kutumia mfumo mpya wa upangaji matokeo ya mitihani ya mwisho yaani FE kuanzia mitihani itakayofanyika NOVEMBER,2014 na kidato cha sita...
1 Reactions
28 Replies
38K Views
Nafundisha masomo tajwa hapo juu kwa O level kwa full au part time maeneo ya Morogoro mjini na maeneo ya jiran pia kama vile mzumbe,mikese,kingolwira etc. Contact: 0684606935
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Udhamini (scholarships) ni zawadi hivyo mtu akipata hana jukumu la kuilipa , Duniani kuna aina mbalimbali za udhamini zaidi ya maelfu kwa maelfu , zikitolewa kwa vigezo mbalimbali kama vile Watu...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Mimi ni mwalimu ambaye nina ujuzi wa kufundisha kwa umakini practicals za chemistry kwa shule yenye uitaji wa mwalimu unaweza wasiliana na mimi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zaidi ya wanafunzi elfu 28 (28,000)wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu mwaka huu kukosa mkopo. Hizi ni taarifa za kuaminika kutoka bodi ya mikopo. Sasa je! wanafunzi hawa elfu 28 wote wataweza...
1 Reactions
77 Replies
10K Views
Wadau naomba kujuzwa kama kunataasisi inayodhamini masomo ya ngazi ya udhamiri kwa wanafunzi wanao taka kusoma kozi za linguistics hapa nchini hata kama ni kwa mwaka mmoja Nina GPA ya 3.9 from...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani ndugu zangu wana jamii forum naomba kwa yeyote anayefahamu anisaidie ni wapi naweza kuwapata hawa sponsors kwa ajili ya masomo yangu ya degree. Ni kutokana na hali ilivyo mbaya kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Accountability is one of the key principle of good governance. However civil servants are resisting being accountable to the people. With relevant examples discuss this statement and provide...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Awe msichana Awe na certificate au diploma Awe tayari kufanya kazi mkoa wa morogoro vijijiji mshahara si chini ya laki 2 na nusu. nb: shule ni mpya bado ipo kwenye majengo ya muda. mimi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
naomba kutajiwa shule nzuri za private zenye combntn ya PCB Zilizopo dar na ada isizidi mil 2 ahsanteni na heri ya mwaka mpya.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwalimu wa masomo ya computer na kiingereza anatafuta kazi,pia ana uzoefu katika ku repair computer kwa sababu ana advanced diploma ya it na advanced diploma ya lugha ya kiingereza,ana uzoefu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta wa kubadilishana aje wilaya ya Mufindi Nyololo sekondary na mimi nije wilaya ya Mbozi popote idara ya sekondary. Mawasiliano;0755814442
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Back
Top Bottom