Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Pie ni mathematical constant inayopatikana kwa kuchukua circumference ya circe ukagawa kwa diameter yake.. Kuna fact moja about pie ambayo ni very fascinating.. Unajua value ya pie inaanza na...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Source gazeti la uhuru tarehe 26-12-2014. Nimeanza na chanzo ili kupunguza maswali. Binafsi nimeshindwa kuwaelew hawa wasomi wetu juu ya uwezo wao wa kuchambua mambo ili kuja na suluhisho...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Viona Shina Leboo, a Kenyan girl from Loitoktok shines at Harvard By Abuta Ogeto Updated Thursday, December 25th 2014 at 09:56 GMT +3 Tweet She is beautiful and has got brains, traits that have...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanafm! mm ninamdogo wangu alimaliza degreevya ualimu na aliajiriwa sasa anataka kuchukua mastaz hiyo hiyo ya edction so ni coz gani achukue? but mbaya zaidi anambia hajui kama atakubaliwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habarn wanajamvi! mm ni kjana wa umri wa miaka 19..nilimalza A_level 2012 Nkapata dv4 ya points 26.. Kiukwel napenda sana kujifunza sana na kujua zaid mambo mbalmbali yahusuyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yaani kumbe kama Taasisi tajwa hapo juu zisipokuwa na Matukio jukwaa hili linapooza kiasi hiki? jamani kama TCU, HESLB au NACTE hawana matukio basi jitahidini mlio na upeo wakielimu muwe mnapost...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natumaini mko poa. Nlikuwa naomba kujua kama kuna uwezekano wa mtu anaesoma soma combi ya PCM kupata kozi ya medicine.. Kama inawezekana ni vyuo vipi vinavyohusika???kwa hapa Tanzania. Thanx...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Ipi bora kati ya hizi: radiograph, clinica officer, pharmacy, nursing,na phyisical thelapy . na n mda gan wa kuanza ku aply kwa leve ya diploma?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Merry Xmass Wanandugu, Kichwa cha Habari chahusika, naomba msaada wa link nayoweza kuangalia Selections za Form 1 mwakani 2015, kila nikiangalia naona link zenye maksi tu, sio selection...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habar zenu, Ndugu yangu kapangiwa aanze kidato cha kwanza shule flani ya kata, sasa mimi ninampango wa kumuhamisha na nimpeleke shule ya bweni. Ni hatua gani nizifuate ili nimhamishe kabla ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ndugu wanajamii nimefanikiwa kupata scholarship B.COM chini ya early bird scholarship offer katika hicho chuo lakin sio full. nahitajika kujilipia ticket pamoja na msosi chuoni kwa miaka 3.kama...
0 Reactions
3 Replies
988 Views
Excuse me friends, Je kuna ukweli wowote wa mtu anayesoma combi ya PCM kuapply medicine na akapata??? Kama ndio..,ni kwa vyuo vipi inawezekana????kwa Tanzania. God bless us all.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
eti jamani ni kweli kwamba majibu ya appeals ya mikopo yametoka kwa baadh ya watu.?na kama yametoka unaangalizia wap jina lako..!
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanajamii nilifanya maombi chini ya early scholarship offer nisome degree ya B.COM katika hiki chuo na baada ya wiki3 wamenijibu wamenikubalia lakini sio full scholarship nijitegemee...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
ninayo furaha kuwatarifu kuwa Mimi ni mwalimu wa kingereza isimu (linguistics) pamoja na fasihi ya kingereza (literature). nimehitimu chuo kikuu cha dodoma na kufaulu vizuri kabisa.hivyo kama kuna...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimeshangaa sana leo baada ya wageni kutoka TAMISEMI kufika katika shule ya sekondari BUNDA, kilichotokea ni mkuu wa shule kulazimisha mlizi kukata umeme ili wageni hao wasifanye kazi yao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesoma taarifa kwenye magazeti ya leo kuwa Naibu Waziri TAMISEMI Mh. Kassim Majaliwa ametangaza matokeo ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza shule za Serikali kwa mwaka 2015. Nimejaribu...
0 Reactions
30 Replies
29K Views
Nipo iramba nataka mtu wa kubadilishana mimi niende mbeya jiji yeye aje iramba idara ya elimu sekondari. Tuwasiliane 0787864236
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ndg wana JF natumai mu wazima.Nahitaji msaada wa kupata fomu ya kuomba kutumiwa cheti toka nacte, wameniambi ipo kwenye website yao nimejarbu kuitafuta sijaiona, Ambae anaweza ipata anisaidie...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
eti ni kweli kwamba kuna baadhi ya watu majibu yao ya appeals za mikopo yashatoka.?na kama ni kweli unaangalizia wapi.,plz naomba mnijulishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom