Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Motokeo ya form 4 2014 lini?na pia wataripoti shule lini!? kwani kuna wanaotaka kusoma kozi ya kompyuta miezi mitatu ila sasa wanapata wasiwasi kama mda utaruhusu ,nawasilisha wakuu ;.
0 Reactions
21 Replies
19K Views
Habari,Tafadhali naomba ushaur wenu,napenda kuwa mwandishi wa habari hapo baadae.Nilijiunga na Young Reporter Academy ya South London kupitha Online kama reporter wao kutoka tanzania.baada ya...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Habari ya kazi bandugu, naomba kuuliza kwaanayejua kituo kizuri kinachotoa review ya CPA kwa dar es salaam me natarajia kuanza final stage, naomba msaada wenu, kazi njema
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Zifuatazo ni sifa za mwalimu mpya 2014; 1.hana kitanda. 2.anatandika chini 3.ana sufuria mbili 4.anatumia kuni au mkaa kidogo kupikia 5. Hana meza 6. Hana viti. 7.ni mzigo...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Binafsi sijafurahishwa na sijui kitu gani kingine cha kufanya katika nafasi niliyonayo kama mwanafunzi kuzuia jambo hili kutokea tena zaidi ya kuandika hapa. Leo nimeshuhudia Lecturer wa hapa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba kufahamishwa umiliki wa hii college. Ni ya serikali au ni ya mtu/watu binafsi?. Naizungumzia college iliyopo kule UK ingawa ina matawi sehemu zingine kama Austarial n.k...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Habari wakuu, Nina ndugu ndio amewasili hivi jijini Dar hapa na yupo yupo tu. Sasa sipendi tu awepo awepo hapa nyumbani, nimeona nimtafutie kitu cha kufanya chenye manufaa nae. Hivyo nimeona...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
TANZANIA IMEANZA KUNG'AA KATIKA MEDANI YA ELIMU SHULE BORA AFRIKA BAADA YA SHULE MBILI KUWA BORA KATI YA 50 BORA. SHULE HIZO NI. 30. INTERNATIONALA SCHOOL MOSHI 34 INTERNATIONAL SCHOOL OF...
0 Reactions
71 Replies
20K Views
jmn wanajf ..kama mtu ni graduate BSC.ED anaweza kusoma PGD Ya MD ? au ni kozi gani nzuri ukiachana na education??
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanafm! mm ninamdogo wangu alimaliza degreevya ualimu na aliajiriwa sasa anataka kuchukua mastaz hiyo hiyo ya edction so ni coz gani achukue? but mbaya zaidi anambia hajui kama atakubaliwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Msaada kwa anae jua bum linatoka lini kwa waliofanya transfer """allocation ilishatoka tangia mwaka jana mwezi wa 11 kabla first year hawajapata bum la kwanza ila mpaka saiv wamepata la pili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilianza kazi 2008 na 2011 niliondoka kusoma bila ruhusa. Nimemaliza Bachellor mwaka jana na niliripoti kituoni tangu mwezi wa8 na mshahara nikiwa masomoni ulifutwa. TSD walinipa shitaka la utoro...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Hapa juzi kati, nilidownload document iliyotolewa na TCU inayoorodhesha vyuo vya Tanzania na degree zinazotolewa na vyuo hivyo. Nilichoshangaa ni kwamba ndani ya document, LLB ya UDSM ni ya miaka...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Katika hotuba ya kufunga mwaka Mh.Jk amesema kabisa kwa sada Serikal haiitaji walimu wa arts wametosha mwaka jana wanaitajika walimu wa sanayansi tuuu kwaiyo kwa wale waluosoma UALIMU na wanaosoma...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Tuliohama kutoka chuo kimoja kwenda kingine kuna ambao tayar wameshapata mkopo?
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Naamini mko poa wana jf.. mimi ni mwanafunzi nipo kidato cha sita, Naomba anayejua hatua za kubadilisha jina anisaidie kwani hli ninalotumia nilipewa nilporudia darasa la tano, natanguliza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajukwaa,kwa anayeifahamu shule ya Nia iliyopo Morogoro maeneo ya nane nane anijulishe taarifa hizi:- 1.shule imesajiliwa au ndio ipo kinagumashi?! 2.kiwango cha ufaulu kipoje kwa mitihani ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kheri ya mwaka mpya 2015, baada ya kukaa kimya mda mrefu sasa nimerejea kwa kasi kasi ya ajabu, nitakuwa tofauti sana na mwaka uliopita. nitasoma maada zote za wadau na nitauliza maswali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF naomba kuuliza, ninasoma mwaka wa kwanza chuo cha uhasibu Arusha .Nataka niombe chuo kingine mwaka huu. Je nifuate hatua gani ili nitakapochaguliwa sehemu nyingine nipate na mkopo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Happy sunday basic maths most welcome to enjoy additional maths
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom