Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba msaada, nimekamilisha kujiunga na kulipia NACTEVET kwa ajili ya application ya diploma. Tatizo linakuja Kila nikitaka kuloqin naambiwa nimekosea username au password ukizingatia username...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'D' B/MATH - 'F' Kuna haja ya advance? Kama ni chuo kozi ipi itamfaa?.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekuwa na malalamiko ya wanafunzi na Wazazi wengi kupangiwa Tahasusi (Combinations) ambazo hawajazichagua hata kama wana vigezo vya kusoma tahasusi walizochagua. Soma: - KERO - Serikali...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mpwa wangu amefaulia Arusha sekondari Nina shida na soft copy ya joining instruction form kwa ajili ya maandalizi
2 Reactions
4 Replies
719 Views
Wewe ni mwanafuni unayejiandaa kwenda kidato cha 5 ukiwa na ndoto ya kusoma tahasusi fulani, lakini unajikuta umepangiwa tahasusi tofauti na matarajio yako, na wakati mwingine unapangiwa tahasusi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeapply clinical medicine kibaha, nafasi Kwa wanaume ziko 24. Tulioomba ni 1800 plus. Nina point 6 kwenye PCB, je nitapata kweli?
2 Reactions
54 Replies
2K Views
Jaman nisaidie I natak kujua mda wa application wa hiyo course ya radiology.
0 Reactions
1 Replies
965 Views
Wadau ni kwann mhitimu wa degree kutoka OUT anadharaulika na kuonekana kama degree yake haipo sawa kama degree nyingine kutoka vyuo vingine?
5 Reactions
65 Replies
13K Views
Hello guys, Ule mtihani ulikuwa umesukwa, walioongoza kitaifa wenyewe walikuwa na B kwenye huo mtihani wa kiswahili. Hivi kwenye ule mtihani, nchi nzima kuna mtu alipata A kweli😁, nahisi...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wana JF, Naomba kufahamu jukwaa naloweza kuweka research zangu moja nilifanya kama mwanafunzi wa masters, nyingine nilifanya kama independent researcher nikiwa na mwenzangu. Naona ni...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four. Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Jamani ukisoma CBG na ukamaliza form six ukataka kujiunga na mafunzo ya jeshi unaweza kukubaliwa au Kuna vigezo muhimu af mafunzo ya jeshi yanachukua muda Gani kuhitimu? Na je ili kujiunga mpk uwe...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Mwalimu: Ndugu mzazi nakuomba uje shule, mwanao anatupa wakati mgumu Mzazi: Ndugu mwalimu, hata huku anatupa wakati mgumu kuliko ambavyo unafikiria lakini hatujawahi kukuita Bongo Nyoso..!!!!
2 Reactions
2 Replies
531 Views
Trillion ndio kiasi maarufu kinacho tamkwa sana katika mahesabu ya kawaida ya kifedha na namba. Leo tuangazie majina mengine ya fedha na namba ambayo sio maarufa sana tukiacha ile maarufu kabisa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie nini tufanye ikiwa darasani kwetu karibia wanafunzi wote wa diploma hatujawa verified NACTE. Chuoni tunajitahidi kufatilia tunaambiwa tusubiri tu mpaka dirisha lifunguliwa na...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Habari za mchana wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naombeni mwongozo jinsi ya kupata certificate verification namba baada ya cheti kuhakikiwa RITA. Nimehakiki tayari na nimeendelea na...
1 Reactions
27 Replies
15K Views
Kweli kabisa mtu unasoma hadi chuo kikuu na unapata degree, unashindwaje kujua utofauti kati ya ‘meter’ na ‘Square meter? Mtu unamwambia bei ni laki moja kwa ‘Square meter’, halafu yeye anakupa...
37 Reactions
116 Replies
4K Views
Hivi tunavyofanya application ya diploma kupitia nacte je ni chuo husika ndo kinachagua wanafunzi au nacte ndo wanakupangia chuo kama ilivyo kwa advance?
0 Reactions
0 Replies
242 Views
MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUHUSU RICHARD MABALA KWA watu wengi waliofika ngazi ya elimu ya sekondari, jina Richard Mabala linapotajwa, jambo la kwanza watalolikumbuka ni vitabu vyake maarufu vya...
10 Reactions
25 Replies
16K Views
Back
Top Bottom