Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu habari zenu? Natumai anaesoma post hii yu mzima wa afya kabisa ,Mungu aendeleee kukujali pumzi. Kama kichwa juu hapo natamani kujifunza saikolojia ila sielewi nianzie wapi? vitabu gani...
2 Reactions
4 Replies
491 Views
Walimu hapa kupona kupo au maumivu?? Itatoa roho za watu hii.
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Ndugu zangu leo nina swali kidogo, hivi suala la kuongezeka kwa tahasusi kwa kidato cha tano na cha sita hadi kufikia idadi ya tahasusi zipatazo 65, ni dalili ya elimu kukua???
0 Reactions
3 Replies
458 Views
Wakuu, nmechaguliwa kozi ya Bachelor Degree in Community Development for water supply and sanitation katika chuo tajwa hapo juu. Hivyo naomba kama kuna mtu amewahi kuisoma kozi hiyo anisaidie...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Jaman sahanin tuna shid karib diploma nzima chuon kwetu taarifa zetu nacte hazijawa verified tumeend kuuliz nacte tumeambiw matokea bado hayajatumwa. Naombeni mnipatie solution japo hata nifanye...
0 Reactions
7 Replies
673 Views
Anonymous
Rejea kwenye mamaliko ya uzi huu - Chuo Kikuu cha Mzumbe chakiri Wanafunzi zaidi ya 500 wanadai malipo ya 'refund' chuoni hapo Hadi Leo hii pesa zetu bado hatujalipwa na hakuna hatua zozote...
2 Reactions
3 Replies
931 Views
Katika Mtaala wa Elimu wa Kidato cha V na VI 2023 umefanya mabadiliko ya Tahasusi ambapo Tahasusi katika Kidato cha V na VI zimegawanywa katika maeneo saba ya ujifunzaji ya Sayansi ya Jamii...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wadau... Kijana wangu amemaliza form four mwaka 2023 na ufaulu wake ni- Civ-D Hist-C Geo-D Kisw-C Engl-D Bio-C B/math-F Je? ni elimu ipi itamfaa Kwa upande wa FANI au TAALUMA.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Lengo ni nini? Haya maamuzi yamefanyika kwa kushirikisha wataalamu kweli? Tunakusudia kujenga taifa la aina gani? Mtu akisoma Physics, Kiswahili na Economics (PKE) anaadaliwa kuwa nani? Au...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuandalia notice nzuri sana za biology ambazo zina kila maudhui yanahitajika kwa ajiri yako ndani yake topic zote zinazotoka kwenye practical
1 Reactions
3 Replies
494 Views
Anonymous
Tunaomba Mtusemee! Hawa bodi ya mikopo Kuna figisu wanafanya mara ya kwanza walisema tarehe 20 Mei watatoa mikopo, lakini tarehe ishirini ikafika kwa SAUT Mwanza wakasema tuende tukahakiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Nawaslisha hoja ya kizalendo kwa Wazalendo nikiomba mniunge mkono kwa maslahi mapana ya taifa letu. Niombe Wizara ya Elimu iandae mtaala mahsusi mashuleni kufundisha...
0 Reactions
3 Replies
357 Views
Kuna mtoto wa ndugu yangu ninamsomesha. Huyu dogo kafaulu Kidato cha 4. Kapangiwa college, kwa akili za huyu mtoto naona bado hawezi kusoma college. Ni kijana wa kiume, mvivu, bonge, hana adabu...
0 Reactions
4 Replies
638 Views
Hawa wazungu wakija Afrika hatuwaombi cheti cha lugha ya nchi husika, lakini wao ukitaka kwenda kwenda kusoma kwao watataka hivyo vyeti hapo juu. Kuna nchi kama Tanzania na zingine tunatumia...
0 Reactions
8 Replies
769 Views
wana jf nimefanya utafiti mdogo kwa wahitimu wa kozi zifuatazo, PSPA, Philosophy, History and archeology, History and Political science, Geography and Environmental, Public relation na sociology...
2 Reactions
115 Replies
36K Views
sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya walimu kati shule kadhaa hawataki kabisa kusikia wanafunzi wao wanaenda kusoma tuisheni kipindi Cha likizo wakidai kwamba zinapoteza na kuvuruga uelewa wa kile alichowafundisha...
0 Reactions
8 Replies
547 Views
Habari zenu?, Naombeni msaada WA TAARIFA Kwa anayeifahamu machame girls, kuna ndugu yangu anaishi iringa, kachaguliwa huko form five HGL huko., Sasa htajaifahamu vizuri performance yake...
0 Reactions
1 Replies
595 Views
Jamani naomba msaada wa kueleweshwa hizi course mbili. Moja ni Bachelor of Science in Food, Nutrition and Dietetics ambayo inatolewa pale OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA(OUT). Na nyingine ni Bachelor...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom