Naomba kujuzwa vitengo vilivyopo katika ofisi ya udhibiti ubora wa shule

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,568
44,786
Mwenye uelewa wa majukumu na vitengo ndani ya hizi ofisi za udhibiti ubora wa shule katika Wilaya.
 
Nyoosha maelezo ili usaidiwe. Mimi hapa ni Mdhibiti wa huo ubora mashuleni. Nina uzoefu mkubwa! Ningekusaidia. Unataka kuomba hiyo nafasi?

Ni kazi fulani ya kushinda tu ofisini kuanzia asubuhi mpaka jioni, huku mkitumia muda mwingi kupiga soga, kuperuzi kwenye mitandao, kusikiliza mziki na kucheza gemu.

Mara moja moja gari likiwa na mafuta ya kutosha, ndiyo huwa tunaenda kuwakagua walimu mashuleni.
 
Nilitaman kujua muundo wa kiutawala hapo OFISINI..boss anakuwa na cheo gani anaitwaje au ndo mdhibiti mkuu wa ubora wa elimu Wilaya??then chini yake Kuna vitengo gani hasa vya kiutendaji achana na hivi common tunavyovijua sote
 
Nyoosha maelezo ili usaidiwe. Mimi hapa ni Mdhibiti wa huo ubora mashuleni. Nina uzoefu mkubwa! Ningekusaidia. Unataka kuomba hiyo nafasi?

Ni kazi fulani ya kushinda tu ofisini kuanzia asubuhi mpaka jioni, huku mkitumia muda mwingi kupiga soga, kuperuzi kwenye mitandao, kusikiliza mziki na kucheza gemu.

Mara moja moja gari likiwa na mafuta ya kutosha, ndiyo huwa tunaenda kuwakagua walimu mashuleni.
Unaombaje hiyo nafasi
 
Mbona wadau hamnyoshi maelezo
 
Back
Top Bottom