Vp hik chuo CDTI tengeru

Vp hik chuo CDTI tengeru

moudy_b6

Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
81
Reaction score
4
Ebwana eee..kuna kamdogo wng mmoja amekosa first round....so 2nd round katika tizama tizama za vyo nikakikuta ik cho...so mwenye taarifa zozote kuhusiana na ik anijuze wakuu...coz tyt nimekwisha muuapply kwenye ik chuo
 
Ni chuo kikongwe wanatoa course za Community Development, kiko Tengeru Arusha nje kidogo ya Jiji.
 
Kipo vizur kimasomo au vp...au hauna taarifa izo?
 
Ebwana eee..kuna kamdogo wng mmoja amekosa first round....so 2nd round katika tizama tizama za vyo nikakikuta ik cho...so mwenye taarifa zozote kuhusiana na ik anijuze wakuu...coz tyt nimekwisha muuapply kwenye ik chuo

afu uwe unaandika vizuri mkuu unatuchosha akili kufahamu nini ulitaka kumaanisha
 
Kipo vizuri, mazingira mazuri,hostel iko ziko poa, no shida ya maji, msosi magenge n kipo mbali na stend ya mjini km2 nadhani, nimeishia maeneo jirani na pale
 
Back
Top Bottom