Shule ya Sekondari Rugambwa iangaliwe kwa macho mawili

Shule ya Sekondari Rugambwa iangaliwe kwa macho mawili

ugunda

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
10
Reaction score
0
Shule hii ya wasichana waalimu wake wamekuwa wakitumia muda mwingi kufanya kazi za mikono badala ya kusoma, wanafunzi wanapohitaji kujisomea hawapewi muda zaidi ya ule wa saa moja jioni hadi saa nne usiku wakati huo wanakuwa wamechoka na kazi za shamba la kahawa na kukata majani pamoja na kusomba maji.

Pili, wasichana wasioeleweka wamekuwa na tabia ya kutupa pedi iliyotumika hovyo, hapa mwalimu huamua darasa ambalo pedi hiyo imeokotwa karibu kila mwanafunzi aishike na kupikicha mkononi haijalishi unakidonda mkononi au la hili linasababisha mambukizi ya magonjwa yasioeleweka kwa wengine ni hatari. Tunaomba maafisa wanaohusika watusaidie

Wanafunzi watiifu
 
Kama ni kweli hawa walimu wachukuliwe hatua za kisheria sababu wanadumaza elimu pia wanachangia kueneza magonjwa.
 
mimi kama afsa utumishi tamfikishia afsa elim idara secondary
 
Aseee.... Ungesee uo ata kwa dawa ningekuwa mude siwezi fikicha pedi, mbfuuuu sanaaa, bora ufukuzwe shule
 
siyo hiyo tu hata Nyakato Boys wanafanyishwa kazi km watumwa mara kulima viaz, mara shamba la migomba , mara kulisha nguruwe, mpaka matokeo yao mwaka huu yanasikitisha shule imekuwa ya 12 kati ya 13 kimkoa walim badala ya kufundisha wanakalia kudeal na wanafunz adhab kila saa
 
shule hii ya wasichana waalimu wake wamekuwa wakitumia muda mwingi kufanya kazi za mikono badala ya kusoma ,wanafunzi wanapohitaji kujisomea hawapewi muda zaidi ya ule wa saa moja jioni hadi saa nne usiku wakati huo wanakuwa wamechoka na kazi za shamba la kahawa na kukata majani pamoja na kusomba maji
2,wasichana wasioeleweka wamekuwa na tabia ya kutupa pedi iliyotumika hovyo ,hapa mwalimu huamua darasa ambalo pedi hiyo imeokotwa karibu kila mwanafunzi aishike na kupikicha mkononi haijalishi unakidonda mkononi au la hili linasababisha maabukizi ya magonjwa yasioeleweka kwa wengine ni hatari .tunaomba maafisa wanaohusika watusaidie

wanafunzi watiifu
waandamane ss wenzao wa nyakato boys tuliandamana 2011sasa hivi wadogo zetu wanasoma vizuri kabisa
 
siyo hiyo tu hata Nyakato Boys wanafanyishwa kazi km watumwa mara kulima viaz, mara shamba la migomba , mara kulisha nguruwe, mpaka matokeo yao mwaka huu yanasikitisha shule imekuwa ya 12 kati ya 13 kimkoa walim badala ya kufundisha wanakalia kudeal na wanafunz adhab kila saa
Duu mkuu ss tuliandamana 2011 kumbe bado wanaendelea tuu aisee wana bahati km tungekuwepo hapo tungetandika viboko walimu wote mwaka juzi nilienda kuchukua cheti changu walikuwa wananiogopa ile mbaya
 
Shule nyingi za BK zimeharibiwa vibaya sana, hata hazina sifa kama zamani. Nani anaikumbuka St More Colledge a.k.a IHUNGO? Hii shule Enzi za miaka ya 88 kurudi nyuma ilikuwa moto na imetoa vifaa hasa akiwemo mimi hapa. Siku hizi choka mbaya mpaka kuna Div 0 kitu ambacho ilikuwa msamiati pale.
 
zote zile saiv yamebaki majina tu na tatizo ni uongoz uliopo badala wafatilie taaluma wanafatilia mambo yasiyo na msingi walim wanaishia kuuza madukani darasan hawaingiii
 
shule nying za BUKOBA MJIN,zimekuw na matatzo meng sn yanayorudsha nyma maendeleo ya kitaalum kwa wanafunz na shle at particular, un4tunatily uongoz idar ya elim wilay na mkoa umejvsha miwan ya mbao na pamb maskion! mfano: Mwak 2011 NYAKATO BOYZ 2liwaslish matatzo yetu mkoan through Peaceful Demonstratio,un4tunatil insted of solving the probrem wakaishia ku2pga suspension ya miez mi3, kwa kushrikian na mkuu wa shule mzgo, kwa sthil hii matatzo yataongezek sn km hakutakuw na njia stahik ya kutatua hz karaha. ​
 
shule nying za BUKOBA MJIN,zimekuw na matatzo meng sn yanayorudsha nyma maendeleo ya kitaalum kwa wanafunz na shle at particular, un4tunatily uongoz idar ya elim wilay na mkoa umejvsha miwan ya mbao na pamb maskion! mfano: Mwak 2011 NYAKATO BOYZ 2liwaslish matatzo yetu mkoan through Peaceful Demonstration,un4tunatil insted of solving the probrem wakaishia ku2pga suspension ya miez mi3, kwa kushrikian na mkuu wa shule mzgo, kwa sthil hii matatzo yataongezek sn km hakutakuw na njia stahik ya kutatua hz karaha.​
 
Back
Top Bottom