jaman kama wamekuandikia reset choice wanamaanisha kunaulazima hapo nina mdogo wang imekuwa hivyo naomben msaada wenu
Sidhani kama kuna ulazima. Kama ulazima upo basi Nacte wangetoa tangazo kuwa walioona hyo reset choice inabidi wachague upya. Hakika tangazo la maelekezo lingekuwepojaman kama wamekuandikia reset choice wanamaanisha kunaulazima hapo nina mdogo wang imekuwa hivyo naomben msaada wenu