NACTE inatakiwa watoe selection kweny profile zetu tujue mbivu na mbichi, kama ni 2nd round watu waombe upya,,, saiv ndo October sasa,,, tar 26 baada ya uchaguz baadhi ya vyuo kama saut vtaanza kupokea 1st yr,
Kwa nn hawa NACTE hawatoi selection status ikaeleweka? Dah,!? Hadi inaboa sasa,,,,!