Willy mayor
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 346
- 44
Kwa yeyote mwenye kujua hiki chuo kuhusu ada na mahali kilipo naomba anijuze kwa sababu vipo viwili kuna kimara kinatoa kozi ya ualimu wa primary na kingine kipo ilala. Kwaiyo me nataka hicho cha ilala ndo kinachotoa kozi ya C.O au waweza kuniforwadia joininstraction kuja kwenye E-mail yangu wilbaldmarandu@gmail.com Shukran kwa atakae fanikisha hili.