Chuo gani tanzania wanatoa doctor of pharmacy??
kaka uyo anaweza kwenda kusoma Bachelor za education kwa kuptia nacte.ila ili uingie afya lazma uwe na dp ya afya au form 6 fresher so namshaur aanze ktafuta dpoloma ya afya au aseat for form six exam aweke chn i iyo dip yake ya ualimu kama kwel anataka afya. Nmesoma na mtu medcine yeye alikua mwalim ila alfanya vzur 6 so akatumia matokeo yake kuingia ukuKuna mtu ni mwalimu ana diploma but an ufaulu mzuri kwa masomo ya sayansi kwa o level, anapenda kubadili fani,haswa anapenda kuingia idara ya afya,je anaweza? Pia mpe ushauri wako!!
kama unataka conection na mtu toka chuo kikuu chochete cha afya ntakpa ila hvyo vya dp cna mayb cha kibaha cotcNahitaji connection ya mawasiliano na mwanafunzi yyte anaye soma pale lugalo millitary medical school kuna som vital info i want ti share with mm wamenichagua pale kusomea dip of clinical medicine 0714453966 or 0682041234 npatkan humo
Haya,
kozi ya Medical Laboratory Sciences in Histotechnology ya pale Muhas inadeal na nini dspecifically?[/QUOT hawa wanasoma technolojia za human cell na tissu kwa mapana sana.hawa ndo wataalam wa kimaabara wa mambo yote ya cell na matatzo yake kama kansa wanafanya kaz kwa karb sana za kimaabara na daktar bngwa wa kansa oncologist ni watu muhm sana na ajira ni nyng sana. Wana uwanja mpana sana hata katka taasis za utaft wa ksayanc kama IHI na NIMRI na vwanda wa dawa na chemkal
Diploma ya afya wanatumia matokeo ya kidato cha nne kaka? Coz hata yeye alifaulu sana masomo ya sayansi,
1:selection za second round zinatoka tar ngap?
2:kwa nn kwenye profile za wanafunzi walioapply nacte kuna wengine reset choice ipo na wengine hamna