Wale wa Geoinformatic UDOM

Wale wa Geoinformatic UDOM

Abdul Nassir

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
79
Reaction score
9
Habari zenu wakuu, kuna mshkaji wangu amechaguliwa geoinformatic UDOM nawaombeni msaada ilikua nataka kujua yanayo husu iyo course, yeyote yule ​ambae ameisoma au anaifahamu naomba na mm unijuze chochote.
 
duration 3yrs
ajiandae kwa hesabu za hapa na pale semister ya kwanza, geomorphology, geological processes, development studies, communication skills, ofcourse sio magum ila yanahitaji umakini na adabu haijalishi alisoma comb gani
 
asante, vp na nmeskia at unasoma baadh ya programing na kuhusu duration vp ni 3 au 4?
 
duration 3yrs
ajiandae kwa hesabu za hapa na pale semister ya kwanza, geomorphology, geological processes, development studies, communication skills, ofcourse sio magum ila yanahitaji umakini na adabu haijalishi alisoma comb gani

Inaitwa Geoinformatics...with an "s" mwishoni.
Hiyo ni part of Geomatics...which gives an enforcement of the information technology part of it. Hapo you will mostly deal with softwares used in solving problems of geomatic nature.

Among other things you will learn about Geographical Information Systems, Land Information Systems, Remote Sensing, Photogrammetry, Cartography...to mention a few.

Good luck.
 
asante mkuu, vp ati hyo ni course mpya kidogo mana kuna jamaa amenambia ni mpya kidogo na iko markatable??
 
Mpya kivipi?
Aliyekwambia kama alikuwa haijui ndiyo atasema mpya...Ardhi University toka siku nyingi wanaitoa hiyo tena kwa four years!

Ni kozi nzuri nenda kasome...inahitaji uwe mdadisi sana. Uwe rafiki wa internet, laptop iwe jembe lako!

Mathematics and Physics vipo kwa sana.
 
dah nmepiga commercial o level na advance nmekomaa na EGM yan hio physics sijui ata ilivyo kaa vp haitonipa tabu?
 
Go there with a determination to make it...that will help you abundantly! Ndiyo maana wamekuchagua kozi hiyo, probably o'level una points nzuri kwenye maths and physics.

Elimu ya juu ni determination yako tu ndo itaamua. Sasa wewe umesoma pure mathematics A'level afu unaogopa nini? Maths ni language of physics...so relax, you will make it.

Study hard!
Books, internet then ndiyo madesa...STUDY HARD!
 
mkuu, umelewa?
 
dah nmepiga commercial o level na advance nmekomaa na EGM yan hio physics sijui ata ilivyo kaa vp haitonipa tabu?
Geography, hasa physical na math vitakusaidia sana. Physics siyo sana. Nimesomea GIS na mostly ni softwares za maana zinafanya mahesabu yote.
 
Go there with a determination to make it...that will help you abundantly! Ndiyo maana wamekuchagua kozi hiyo, probably o'level una points nzuri kwenye maths and physics.

Elimu ya juu ni determination yako tu ndo itaamua. Sasa wewe umesoma pure mathematics A'level afu unaogopa nini? Maths ni language of physics...so relax, you will make it.

Study hard!
Books, internet then ndiyo madesa...STUDY HARD![/QUOTE
THANK U BROTHER KWA USHAURI WAKO MZUURI, i will make it
 
duration 3yrs
ajiandae kwa hesabu za hapa na pale semister ya kwanza, geomorphology, geological processes, development studies, communication skills, ofcourse sio magum ila yanahitaji umakini na adabu haijalishi alisoma comb gani

Hahaaaaa kaazi anayoooooo
 
Go there with a determination to make it...that will help you abundantly! Ndiyo maana wamekuchagua kozi hiyo, probably o'level una points nzuri kwenye maths and physics.

Elimu ya juu ni determination yako tu ndo itaamua. Sasa wewe umesoma pure mathematics A'level afu unaogopa nini? Maths ni language of physics...so relax, you will make it.

Study hard!
Books, internet then ndiyo madesa...STUDY HARD!

Exactly
 
Kumbe sio 'mshikaji' wako ila ni wewe mwenyewe? Kwa nini unadanganya sasa rafiki?
tuko wawoli shuleni kwetu tuliopata hiyo course na nwenzangu aliniomba nmuulizie hicho kitu , na kna m2 mmoja nadhan aligundua na mm no mwana geoinformatic ndio nkamjibu "i will make it" , nadahn nlikosea heading kuiandka samahani mkuu kwa ilo
 
Hakuna shida mkuu, kapige kitabu. All the best!!
 
Hizi kozi mnapewa random? Au mliapply bila kujua ni kitu gani?
 
Back
Top Bottom