Tofauti ya "Tutorial Assistant" na "Lecture Assistant"

Tofauti ya "Tutorial Assistant" na "Lecture Assistant"

apologize

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
709
Reaction score
571
naomba wenye ujuzi wa vitu tajwa hapo juu wanisaidie?
 
TA = Mkufunzi msaidizi
AL= Mhadhiri msaidizi
Tofauti zao ni
1. kiwango cha elimu TA>=Bachelor degree AL>=Masters degree
2. Majukumu ya kazi
3. Mshahara
 
TA = Mkufunzi msaidizi
AL= Mhadhiri msaidizi
Tofauti zao ni
1. kiwango cha elimu TA>=Bachelor degree AL>=Masters degree
2. Majukumu ya kazi
3. Mshahara
vp hapo kweny majukumu ya kazi., ni kazi zipi wanazotofautiana? na mshahara wa "AL" ni shingapi ukilingansha na wa "TA" kama unauelewa?
 
Back
Top Bottom