Oppotunity
Member
- Sep 9, 2013
- 38
- 12
Jamani Wana Jf Mimi nimechaguliwa kwenda kusoma st josep degree corse ya computer science and engineering nilikuwa naipenda sana ila hivi karibuni nimepata mtazamo tofauti wa kimaslahi kwamba civil engineeri ndio yenye maslahi makubwa na uwanja mpana kuliko cse...lengo langu mimi ni kuwa best engineer mwenye mafanikio makubwa (financially) ndani ya muda mfupi even kabla ya kumaliza cozi yangu ili niweze kusaidia familia yangu na kufaidi matunda ya elimu yangu. kinachoniweka njia panda ni kitu kimoja nibadilishe coz from CSE to CIVIL au nibaki CSE???? naombeni ushauri wa kitaalam jamani ningependa zaidi kuwasikia wale waliofanya hizi corse na wanamafanikio katika maisha yao...i'll greatfull for positive ideas!!!