Msaada;Wenye uelewa na coarse ya IT.

Msaada;Wenye uelewa na coarse ya IT.

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
619
Reaction score
371
Habari wakuu:
Nina jamaa yangu kaniuliza kuhusu coarse ya IT sasa mimi sina uelewa saaaana na hii coarse wakuu, yeye alimaliza kidato cha nne mwaka 2014 na matokeo yake yalikua hivi;
Geograph -B
History-B
English-C
Civics-C
Biology-D
Math-F
Kisw-D
Chem-X
Phy-X
Je anaweza akasoma hii coarse wakuu? Maana nimejaribu kuangalia kwenye website ya UCC ya pale mbezi beach sioni admission kwa hii coarse maana nina wasiwasi na hapo kwenye somo la Mathematics ndo maana nimeona niulize wadau humu.
Nawasilisha.
 
Nenda jukwaa la technology kuna uzi umeelezea IT...upitie utapata mwanga zaidi!!
 
Anaweza sana kusoma ingawa baadhi ya vyuo wanataka uwe umefaulu somo la hesabu japo d au e, pia umwambie it ina kozi nyingi za hesabu kwa hiyo kama hesabu haipandi mwambie abadili koz au ajifunge mkanda la sivyo chuo watakula kichwa.
 
Yah anaweza soma kama ataongeza juhudi ya math ila pia anaweza akakosa sifa za kujiunga katika baadh ya vyuo kozi ya failure ya mathematics.
 
Back
Top Bottom