Msada wa Mawazo tafadhali

Msada wa Mawazo tafadhali

zafryjuma

Member
Joined
May 22, 2015
Posts
94
Reaction score
0
Sory wana Jf..Ninasoma Dplm ya edctn Math & chmstry...nilikuwa nawaza km nta weza soma dgr ya kty kngn kizuri tofauty n edctn cijui ina wezekana....msaada plz
 
huo uandishi ndugu yangu msaada wenyewe utapata kweli?
 
Wame ni chagua udom dplm y edctn math&chmstry lkn nilikuwa cna ndoto za kuwa mwlm...naomba mnisaidie km dgr ntaweza soma coz nyngn tofauty na edctn na ni coz gani
 
Kuwa na staha basi,andika maneno yakiwa kamilifu humu jf ni kwa watu wenye tija sio watu wa hovyo hovyo.Kwa huo uandishi wa kitoto ni ngumu kupata msaada,rekebisha hilo kwanza ili wasomi tukuelewe uzuri!
 
Km kunaa sehm nime kosea naomba mni rekebishee....Ma chief lingustics......
 
Sory wana Jf..Ninasoma Dplm ya edctn Math & chmstry...nilikuwa nawaza km nta weza soma dgr ya kty kngn kizuri tofauty n edctn cijui ina wezekana....msaada plz

Wame ni chagua udom dplm y edctn math&chmstry lkn nilikuwa cna ndoto za kuwa mwlm...naomba mnisaidie km dgr ntaweza soma coz nyngn tofauty na edctn na ni coz gani

Wengine hatujui kswhl bty na hic mme ni elewa....
Bora ungeleta swali lako kwa kingereza maana watu humu wasomi wangeelewa japo kuandika kingereza nacho ni tabu
BTY=BUT

Km kunaa sehm nime kosea naomba mni rekebishee....Ma chief lingustics......
DPLM=DIPLOMA
EDCTN= EDUCATION
KM=KAMA
DGR=DEGREE
KITY=KITU
KNGN=KINGINE
TOFAUTY=TOFAUTI
COZ=COURSE
CIJUI=SIIJUI
Kwa kifupi makosa yako ni Mengi hayafananii na mtu anayeenda degree. Halafu bado unaambiwa unaona hamna kosa.
 
huo uandishi ndugu yangu msaada wenyewe utapata kweli?

Mwalimu wa kidigitali na wanafunz watakaririshwa hivyo hivyo kidigitali. na kwakuwa wasahihishaji wa mitihani ndo haohao walimu wa kidigitali bas hakuna kufeli hapo. BRN!!!!
 
Sory wana Jf..Ninasoma Dplm ya edctn Math & chmstry...nilikuwa nawaza km nta weza soma dgr ya kty kngn kizuri tofauty n edctn cijui ina wezekana....msaada plz

Na kwenye kuandaa notes za wanafunzi wako unaandika hivihivi ? au ndo utawambia wanafunzi wagoogle??
 
Bora ungeleta swali lako kwa kingereza maana watu humu wasomi wangeelewa japo kuandika kingereza nacho ni tabu
BTY=BUT


DPLM=DIPLOMA
EDCTN= EDUCATION
KM=KAMA
DGR=DEGREE
KITY=KITU
KNGN=KINGINE
TOFAUTY=TOFAUTI
COZ=COURSE
CIJUI=SIIJUI
Kwa kifupi makosa yako ni Mengi hayafananii na mtu anayeenda degree. Halafu bado unaambiwa unaona hamna kosa.[/QUOTE
SIO HUJUI KISWAHILI TU NA KINGEREZA PIA HUJUI! BTY =BUT?? KAMA LENGO LAKO NI KUFUPISHA NENO HAPO UMEFUPISHA NENO GAN WAKATI BUT LINA HERUFI 3 NA HUO UTUMBO WAKO WA BATA PIA HERUFI 3?
 
Bora ungeleta swali lako kwa kingereza maana watu humu wasomi wangeelewa japo kuandika kingereza nacho ni tabu
BTY=BUT


DPLM=DIPLOMA
EDCTN= EDUCATION
KM=KAMA
DGR=DEGREE
KITY=KITU
KNGN=KINGINE
TOFAUTY=TOFAUTI
COZ=COURSE
CIJUI=SIIJUI
Kwa kifupi makosa yako ni Mengi hayafananii na mtu anayeenda degree. Halafu bado unaambiwa unaona hamna kosa.
SIO HUJUI KISWAHILI TU NA KINGEREZA PIA HUJUI! BTY =BUT?? KAMA LENGO LAKO NI KUFUPISHA NENO HAPO UMEFUPISHA NENO GAN WAKATI BUT LINA HERUFI 3 NA HUO UTUMBO WAKO WA BATA PIA HERUFI 3?

Huyo ni janga la taifa..
 
Hayuko serious na anachotaka akikosa asilaumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom