Haya wale wa second round Mambo tayari

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Ukifungua inadisplay ifuatavyo

****************************
Update:

Kwa wale waliofanya 2nd round ndo watanielewa hiyo text imeappear from today kabla ya hapo kilichokuwepo ni list inaoonyesha kozi tano ulizochagua!
-kosa walilofanya ni kudisplay ile text ya waliopata first round bila kuiedit kwa ajili ya waliopata 2nd round
 

Attachments

  • 1444117547641.jpg
    1444117547641.jpg
    49.9 KB · Views: 984
Mkuu sote tunazo vo izo adroid xx...inakuaje kuchomeana mb kwa taarifa ya kipumbav km hii?
 
Mkuu sote tunazo vo izo adroid xx...inakuaje kuchomeana mb kwa taarifa ya kipumbav km hii?
mkuu mimi nilitemwa 1st round na nikareapply na nimepita ,anachosema mtoa thread ni jambo la ukweli ,sema TCU wamefanya ku2mia text ya zaman haijafanyiwa editing ,ndyo maana mnaona pale hawajaandka neno 3rd round ,ila ukijiongeza utaelewa wamemaanisha 3rd round ,na cyo 2nd round kama inavyoonekana.
 
Ni mabadiliko yapo maana Mara ya kwanza walikua wanasema cas is closed but sasa wanasema kama alivyo andika mtoa thread.
 
Wapo ambao hakuna changes ,na cha ajabu hakuna option ya kufanya reapplication zaid ya kuandikiwa negative ,na 0....cjajua maybe wanaweka mambo sawa ,maana hata ile tarehe ya deadlne stil imebak ileile ya 2nd round 30 sept!
 
Ni mabadiliko yapo maana Mara ya kwanza walikua wanasema cas is closed but sasa wanasema kama alivyo andika mtoa thread.

yah ni kweli mkuu hata mimi nimeona ivyo........wanaobisha waangalie kwa makini tafadhari.......
 
Bado bhn hyo ilkuwep toka zaman baada ya 1st round

ongea kwa fact bro..acha ubishi wa kijinga..hii kitu haikuwepo kwa wale wa second round,jana iliandika database error,, leo asubuh ikawa inadisplay kuonesha capacity zilizobaki..sasa hivi walichokiandika kama umeandikiwa hivyo jua umepata chuo ila bado kurealise officiall kujua umekuwa admitted chuo gan..

nawasilisha
 
Ukifungua profile yako angalia selection result

no changes nimemchekia mtu mda huu, ni kwa baadh ya watu tu au, manake zile coz zipo na yale masifur na kaneg 1 udom, result unakuja ujumbe ule ule kwamba wanaprocess 2nd round
 
basi itakuwa imebadilika kwa wachache au sio wote

attachment.php
 

Attachments

  • TCU CAS   2nd Round application phase.png
    TCU CAS 2nd Round application phase.png
    6.3 KB · Views: 1,878
Back
Top Bottom