Kutaka kujua habari zaidi kuhusu chuo cha st john

Kutaka kujua habari zaidi kuhusu chuo cha st john

titration

Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
25
Reaction score
2
Wakuu heshima kwenu na poleni na harakati mbalimbali za kimaisha,,ndugu zangu namshukuru Mungu mwaka huu nimepangiwa chuo cha St john main campus faculty ya bachelor of science with education lakini kwa kweli mimi cjawahi kufika dodoma na kibaya zaidi sielewi hata utaratibu wa pale chuoni kuhusu mambo mengi,,sasa nina imani ndani ya hili jukwaa hakiharibiki kitu maana kuna waliosoma,,wanaosoma na hata pengine ndugu zao waliosoma chuo kile tafadhali na kwa unyenyekevu mkubwa naomba mnifahamisha details za kile chuo.Nashkuru sana na Mungu awabariki!!,
 
Back
Top Bottom