Waheshimia naomba kuuliza kwa anayejua kuhusu second batch ya udsm maana nimeona 1,3,4 na 5...na mimi nimeandikiwa nimechaguliwa udsm lakini admission yangu hakuna chuoni nimeomba kupitia NACTE..........Second batch sijaiona kwene site ya chuo
wakuu nimechaguliwa IFM kozi ya bachelor of science in social protection sasa nataka nifanye transfer kwnd chuo kingine na pia nibadilishe kozi huko ninakotaka kwenda je inawezekana na ni hatua gani natakiwa nianze kuchukua
vingine ukisubiri msaada umu utakesha, pambana aseee nenda Chuo unachotaka kuhamia kawalilie sana , nenda TCU na heslb kalie sana kama huna wa kukushika mkono inabidi ujitoe akili we kila siku nenda ad waone unawasumbua.