Kozi fupi VETA

Kozi fupi VETA

nessonlegend

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
1,698
Reaction score
1,514
Habarini ndugu zangu wana JF,!

Naombeni msaada wa kufahamu kozi fupi zinazotolewa na vyuo vya VETA hasa MBEYA na MOSHI ukiondoa UDEREVA, na je huwa zinatolewa kwa muda gani?

Natanguliza shukrani zangu!
 
Back
Top Bottom