Msaada: Sijajaza baadhi ya information online

QUALIFIED

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
773
Reaction score
119
Habari wakuu
nimelogin kwenye account yangu heslb wananiambia sijajaza baadhi ya sehemu Kama form 4 sitting Na sehem nyingine lakini nikiingia zinaonyeshwa zimejazwa sasa nashindwa kuelewa tatizo Ni nini
 
sio peke yako hata wengne
 
Back
Top Bottom