4th round vyuo vya afya NACTE tukutane apa

4th round vyuo vya afya NACTE tukutane apa

Nafikiri Zaidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
516
Reaction score
686
Kwa wale wote ambao tumepelekwa mpaka round ya nne katika kozi za afya tukutane hapa tupeane taarifa kwa updates zozote kuhusu round hii ya nne ...kama vipi weka namba yako nikuunge kwenye Grup la watsap la wahanga wa round ya nne..

Asante
 
Back
Top Bottom