Habari zenu
Hivi mtu unaweza ukaomba transfer kwenda chuo fulani kusoma kozi fulani alafu alafu ukifika uko ukabadilisha kozi tena hapohapo chuoni!
Hahahahaha,,,kumbe ni kwelieKama Mbowe Na UKAWA Yake Wameweza Kubadilisha Gia Angani Japo HAIKUBADILI Kitu Iweje Wewe Ushindwe Kubadili Kozi Mkuu? Inawezekana Tu.