ni kweli kuna ulazima wa mwanafunzi wa first year diploma kuwa na "drawing board".kwasababu kifaa hicho ni gharama mno na watoto wa wakulima hatuna uwezo huo.tafadhali naombeni mnisaidie ndugu zangu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.