Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,144
.
Habari wadau.
Naomba ushauri nataka kwenda kusoma bachelor of business administration chuo cha CBE dar es salaam.
Niende ama chuo kina tatizo lolote lile kuhusiana na kozi hyo husika?
Tatizo Kama lipi cause hamna chuo ambacho hakina tatizo na iyo kozi unatarajia kuanza mwakani nini.?
we unaanza mwaka huu au mwakani october
Naanza mwaka huu
Assignment gan tena hizo? Ww unasoma hapo pia? J3 ntaenda if God wishes
Kuna watu nawafahamu wapo hapo cbe me npo mwaka wa Pili sema sio course iyo
Nenda tu mkuuu. Sidhani kama kuna shida katika vyuo vya serikali... Soma tu mengine Mungu ndio ana panga. Kuna watu wana PhD na wanatembelea Corolla hapa mjini ihali kuna darasa la saba wanaendesha Vogue!
Mdogo Wangu, Vyuo vyote vina matatizo yanayofanana mfano walimu (Lecturers and Tutors) kujiona mungu watu, material kuwa shallow (SUMMARIZED DESA), vipindi kuanza kuwa SERIOUS wakati karibu na mitihani (Mid Semester or End of Semester), Ma-secretary wenye nyodo (UNPROFESSIONAL).. n.k We kasome CBE lakini komaaa kupata material toka vyuo vingine au ya NBAA.
Wahi watu washanza kukusanya izo assignment na test zinakaribia
usha dsco teyal
Cbe hamna disco
kak awawez pta wote hich chuo kkuu ukzngua nyumbn
Acha kukariri sasa me ndo nakuambia Cbe hau disco uta carry masomo au somo hadi uchomoe ndo utapewa cheti chako vyuo vimetofautiana utaratibu ndo maana wengine Una disco kwa semester wengine wanadisco kwa mwaka