mulugo yupo wapi?

mulugo yupo wapi?

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,291
Reaction score
6,693
MAAJABU MENGINE YA NAIBU
WAZIRI WA ELIMU,MH MULUGO
Akiwa katika ziara ya kutembelea
chuo cha ualimu Tukuyu.
Wakufunzi walimuuliza swali
kwanini hawapandishwi
madaraja kwa muda mrefu.
Mmoja wa wakufunzi alilalamika
toka aajiriwe yuko daraja D
ingawa ana mwaka wa kumi
kazini. Mulugo akajibu kwamba
atahakikisha anapanda daraja
mpaka A mwaka huu. Akidhani
daraja A ni kubwa kuliko E
wakufunzi wote wakabaki
kumshangaa akiwamo mkuu wa
chuo wa pale.
Akiongea na wanafunzi
wanafunzi walimuomba serikali
iwaajili hata kama wame fail
somo moja yaani kama wana
supplementary moja katika
mtihani wao wa mwisho. Mulugo
akajibu kwamba suppementary ni
somo kama masomo mengine
hivyo ni lazima wafaulu
supplementary asiyefaulu
atakiona. Yeye akidhani
supplementary ni mojawapo ya
somo katika course ya ualimu.
Swali:
Alipewaje wizara nyeti kama hiyo
wakati haijui kabisa?
 
Back
Top Bottom