Course zipi zinamfaa mtu mwenye gpa ya lower second kwa bachelor ya elimu katika sanaa, na yenye fursa kwake ?

Hamza Mdoe

Member
May 30, 2016
13
8
HABARI wadau KATIKA jukwaa hili adhimu, Mimi ni mwajiriwa KATIKA kada ya elimu kwa masomo ya English and literature in English na ufaulu wangu kwa chuo haukuwa mzuri sana nilipata GPA ya 2.8 lower second.

Je, naweza kujiendeleza masters KATIKA course gani ambyo itakuwa na FURSA mbalimbali zenye kufit ktk career yang ? Na vyuo gani ni vzur kwenda kusoma?

Naomba ushauri wenu wadau mana nawaza kusoma tu sasa hivi.
 
Hongera kwa uamuzi. Hiyo GPA haina shida kabisa. Maswali yangu:
1. Malengo yako baada ya hiyo masters ni nini?
2. Unatamani kusoma ndani au nje ya nchi?
Asante sana kwa pongezi kaka
Malengo yang ni kutoka hapa nilpo kupatA nafas Zaid kwa zile kaz ambazo haziangalii GPA ya bachelor Bali zenye vgezo vya masters
Pia nataman nngesoma nje tatzo namna ya kupata scholarship zna ujuz huo
 
Okay mkuu Mwl. Mdoe, bora umeuliza kabla ya kufanya maamuzi.

Una namna 2 ya kuhama fani yako ya sasa:
1. Kuomba kazi upya/uhamisho kwenda kwenye kazi nyingine nje na ualimu. Ziko Taasisi nyingi tu zinapokea mtu mwenye Degree ya Education kwa majukumu tofauti tu. Bahati mbaya walimu hawajui hizo fursa.

2. Kusoma degree upya ya fani unayoipenda then uombe ajira tena serikalini au uombe re-categorisation (kuhama kada). Wakati unatuma maombi haya hutopoteza ajira yako ya awali.

Kuhusu kusoma Masters;
Ajira mpya na kuhama kada serikalini level ya mwisho ni degree isipokuwa kwa Lecturers, madaktari bingwa na wakuu wa Idara na Taasisi.

Kwa hiyo ukienda kusoma Masters yoyote nje ya Education hutoweza kuajiriwa au kubadilishiwa kada hadi uwe na cheti cha degree cha taaluma unayotaka kuhamia.

Kadhalika, ukienda kusoma Masters ya Education pia hutoweza kwenda kokote zaidi ya kusubiri uteuzi wa uafisa Elimu.

Ushauri wangu: Kama lengo ni kuacha chaki, tumia degree yako hiyo hiyo ya Education kuomba nafasi ya kuhamia Taasisi nyingine. Lakini kama kuna fani maalumu umeilenga, basi karudie degree yake. Kusoma Masters utapoteza muda na pesa unless unataka uvizie uafisa elimu.
 
Sorry niltaman tu kusoma masters ya kada yangu hii hii sijahtaj kuhama career na kuhusu kusubil nafas ya uafisa elimu kata au wilaya sio Kwan hamna nafas zingne Zaid ya hyo boss
 
Kama hutaki kuhama kada basi ukisoma Masters utakuwa na option ya uafisa Elimu Wilaya tu. Afisa Elimu Kata haihitaji kuwa na Masters, ni degree tu.

Kumbuka katika ajira yako ya ualimu hakuna vyeo zaidi ya ukuu wa shule, Afisa Elimu kata na Uafisa Elimu Wilaya na mkoa. Labda na vile vyeo vya Wizarani.
Vile vya wizarani ni kama vipi mana hyo nafkr ndo target yng zaid
 
Sorry niltaman tu kusoma masters ya kada yangu hii hii sijahtaj kuhama career na kuhusu kusubil nafas ya uafisa elimu kata au wilaya sio Kwan hamna nafas zingne Zaid ya hyo boss
Kama hutaki kuhama kada basi ukisoma Masters utakuwa na option ya uafisa Elimu Wilaya tu. Afisa Elimu Kata haihitaji kuwa na Masters, ni degree tu.

Kumbuka katika ajira yako ya ualimu hakuna vyeo zaidi ya ukuu wa shule, Afisa Elimu kata na Uafisa Elimu Wilaya na mkoa. Labda na vile vyeo vya Wizarani.

Nasisitiza; Kama lengo lako ni kuacha chaki na hutaki kwenda mbali na Taaluma yako degree yako hiyo hiyo kuombea nafasi kwenye Taasisi nyingine. Mf. U-warden, afisa mitihani vyuoni, afisa udahili, afisa mikopo (HESLB), huduma kwa wateja au Elimu kwa mlipa kodi (TRA) n.k
 
Bwana hamza kwema ndugu yangu, bahati nzuri tunafahamiana vizuri tumesoma chuo kimoja tumemaliza 2015, mkuu hiyo gpa haina shida swala ni moja masters ya ualimu haikuongezei mshahara wala haikupi guarantee ya kupanda cheo, kama unataka kuhama kada fata maelekezo ya ngariba one, ila kwa sisi ambao tulisoma ualimu na hatukuajiriwa kwenye ualimu tumetumia njia ya kwenda kusoma post graduate BA na kutafuta masters MBA, Tupo kwenye makampuni, busness admistration, inategemea lengo lako ni nini hapo baadae , au teuzi maana nmekuona kwenye chama
 
Ha ha ha haaah, ngoja nije inbox kk
 
Kuna vile vya halmashaur wasaidiz WA ded ,, DEO etc vp hiv havihusian na masters
DEO=District Education Officer yaani Afisa Elimu Wilaya. Ndio mkuu wako wa Idara. Rejea maelezo yangu ya awali mkuu, nimemtaja.

Kwakifupi serikali inaajiri kwa vyeti vitatu tu; 1. Astashahada 2. Stashahada 3. Shahada.

Mtu anaweza kuajiriwa au kubadilishiwa muundo wa utumishi kwa kigezo cha Masters kwa ajira za wakufunzi vyuo vikuu, madaktari bingwa na wakuu wa vitengo vya taasisi chache sana kama TRA.

Hao watumishi wa halmashauri mwisho ni degree. Hapo Masters ni kwa wakuu wa Idara tu.

Pia soma maelezo ya Burungutu sandawesu , kaeleza vizuri
 
Nimekupata boss
 
Namshukur xana Kwa ufafanuz huu kiongoz
 
HABARI wadau KATIKA jukwaa hili adhimu, Mimi ni mwajiriwa KATIKA kada ya elimu kwa masomo ya English and literature in English na ufaulu wangu kwa chuo haukuwa mzuri sana nilipata GPA ya 2.8 lower second.

Je, naweza kujiendeleza masters KATIKA course gani ambyo itakuwa na FURSA mbalimbali zenye kufit ktk career yang ? Na vyuo gani ni vzur kwenda kusoma?

Naomba ushauri wenu wadau mana nawaza kusoma tu sasa hivi.
Hongera sana Mkuu. Mbali na kupata teuzi au kuwa mkubwa Kusoma kuna faida nyingi sana. 1. Connection ya marafiki. 2. Kupumzika na hizi kazi maana kufundisha si kazi ndogo 3. Sifa zaid.
Kasome mkuu tena Omba Uganda, Kampala University au Makelele University. Kale umombo na waganda hapa bongo miyeyusho tu.
 
Back
Top Bottom