WanaJF,
Vipi kuhusu hiyo course ya textile design and technology? Ipi nzuri na yenye ajira kati ya hiyo na hizi
BSc in Land management and valuation.
BSc in urban and regional planing.
Msaada...
Habari wadau,
Ninaomba kutoa lalamiko langu kuhusu huduma za masomo kupitia Zoom lectures zinazotolewa na Open University Tanzania kwa wanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza (bachelor of Laws) na...
Wakuu habari zenuu,
Mimi hapa ndgu yenu Sasa naingia chuo mwaka wa tatu nasoma diploma ya electrical engineering, naombeni mnisaidie nijikite kweny kipengere gan kizuri zaidi kitacho nifaidisha...
Habari Wadau wa jukwaa la Elimu
Kuna jamaa yangu anahitaji ushauri hapa. Yuko dilemma katika kuchagua kipi ni sahihi?
Amepata mbanga wa kumpigania katika ishu ya TPDF na ameambiwa akapostpone...
habari wakuu,
naomba mnisaidie namna ya kupata avn number kwa niliyesoma cheti mwaka mmoja na diploma miaka miwili.
pale kwenye maswali ya kuchagua yes or no nachagua nta level ngapi? maana hapo...
Habari ndg zangu, kuna kijana mmoja alikuwa anaishi na mama yake Jijini Dar salaam,baba yake alifariki muda mrefu,mwaka jana kabla ya kufanya mitihani ya kidato cha nne mama yake nae alifariki...
Habari Wana jukwaa naomba kuuliza hivi NBAA huwa wanatoa cheti Cha atec 1 Kwa maana Kuna nafasi za kazi zimetoka za msaidizi wa hesabu daraja la pili za MDA and LGA wanahitaji mtu mwenye atec 1 ya...
Ndio maana inafikia kipindi wanafunzi wanapigwa, ni kwasababu ya kulazimisha mtu afanye asichokipenda by nature. Kuna shuhuda nyingi sana utazisikia, "Bila viboko nisingeweza shule". Hata wale...
Aliyetengeneza sinema ya Avatar alijua.
-Mycelium, au mycorrysis, ni ambayo huenea chini ya ardhi, na kuunda mtandao wa uhusiano kati ya aina zote za mimea, ambayo huwawezesha sio tu kuwasiliana...
Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER.
USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa...
Habari.
Nlikuwa naomba Msaada wa kufahamisha kuhusu ishu ya kupata AVN?
Pia nlikuwa naomba kufahamu Nacte huwa wanatumia muda gani ku confirm matokeo maana yangu yashakuwa submitted
Habari wadau wa JF, naomba kuchapisha Uzi huu hivi kozi ya motor vehicle mechanics inayotolewa VETA ni kozi inayohusu mambo gani na unaweza kujiendeleza baada ya kumaliza kozi hyo na kujiunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.