Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeumia kweli. Nipo na rafiki yangu ananiambia habari za mtoto wake Umri miaka 7. Karudi mtoto huyo amwambia babake kuwa kamsikia mtu mmoja huko mtaani akimwambia...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kuna mdogoangu alifanyiwa application za chuo cha afya cha diploma (nacte) lakini kachaguliwa ambacho ni cha private na pia ada yake ni kubwa tunataka kumbadilishia au tuanze upya...
2 Reactions
3 Replies
419 Views
Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata: 1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university 2: Bachelor of Economics and finance I F M. Naomba ushauri wenu...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimepoteza result slip ya form six halafu inahitajika chuo kwenye usajili. Naombeni mnisaidie nifanye nini ili niweze kufanya usajili maana sielewi.
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Nisaidieni kazi ambazo mtu aliyesoma IT anazifanya kwa upana zaidi.
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunawatakia mitihani mwema. Tunaamini Wizara ya Elimu na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vita dhibiti udanganyifu usitokee. Na watakao bainika kufanya udanganyifu basi hatua kali zichukuliwe...
1 Reactions
1 Replies
447 Views
WADAU natumai wote hamjambo, shida yangu hapa mweye kuwa na pdf ya MWENE'S ROUGH DAY (story book) pls aiweke hapa
2 Reactions
1 Replies
450 Views
Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D Amepata Division III Point 23 hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha Human Resources Management...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Serikali imeamua kuboresha uelewa wa somo la Kiingereza kuanzia Shule za msingi darasa la kwanza badala ya kuanzia darasa la Tatu kama hapo awali ili kuwajengea uwezo wanafunzi hao ingali mapema...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana JF, Naomba msaada kuhusu kozi ya BA in Communication studies soko lake, ajira zake n.k
2 Reactions
8 Replies
841 Views
Tunawaombea mtihani mwema na wenye ufaulu vijana wetu wote wa darasa la 7, wanaoanza mitihani yao kesho.
3 Reactions
5 Replies
799 Views
Habari zenu wakuu, Poleni na majukumu, Moja kwamoja kwenye mada, Kuna bwana mdogo kaniomba ushauri nimsaidie lakini sio mjuzi zaidi nikaona NIVYEMA kuliweka hapa JF. Huyu dogo kasoma diploma ya...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Kuna binti kamaliza form six mwaka huu kaomba chuo kapata vyuo viwili na alikuwa anasoma PCB kapata UDSM na UDOM lakini kozi aliyopata ndo haelewi kozi yenyewe ni Aquaculture vyuo vyote viwili...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata 1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university 2: Bachelor of Economics and finance -IFM Nilisoma HGE ufaulu wangu ni...
1 Reactions
2 Replies
679 Views
Kwa wanaojua kwani Inawezekana mtu kusoma vyuo viwili kwa mara moja mfano;upo degree chuo x ila unafanya application na kujisali level ya certificate au diploma chuo y
0 Reactions
4 Replies
933 Views
Naombeni, maeneo ambayo mwanafunzi anaesoma bachelor of science in environment management anawezà kufanya field.
3 Reactions
3 Replies
317 Views
Msaada ndugu zangu; Mdogo wangu amesahau username na password aliyotumia katika ku apply chuo naomba mtusaidie ushauri ndugu zangu(chuo ni MUST)
2 Reactions
7 Replies
533 Views
Habari ya jioni.. wanadai msaada ni kozi gani mtu anaweza kusoma Ili apate teuzi ya kuwa Mkaguzi Mashuleni.
3 Reactions
8 Replies
808 Views
Nimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private? Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri Kama vipi...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom