Huhitaji kuandika au kusema ndio uonekane mnyanyasaji au mdhalilishaji hata kusambaza maudhi ya kibaguzi kama hili.
Huu mfano nimetumia ili kuonyesha kiasi gani tunaangamiza nafsi nyingi bila...
WANAFUNZI 19,345 WAPANGIWA MIKOPO YA TZS 59.49 BILIONI AWAMU YA TATU
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu leo (Jumapili, Oktoba 20, 2024) imetangaza Awamu ya Tatu (Batch Three) yenye...
Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka.
Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said...
Mimi ni muhitimu wa shahada ya LOCAL GOVERNMENT ADMINISTRATION AND MANAGEMENT kutoka chuo cha serikali za mitaaa mwaka 2023
Nimekuwa nikiahangaika kuomba ajira hata sekta binafsi katika ngazi ya...
THE KINDIKI FAMILY
1. Prof. Jonah Nyaga Kindiki, International Education and Policy, Dean of Faculty of Education, Moi University;
2. Prof. Isaiah Iguna Kindiki, Soil Science, Vice Chancellor...
Habarini,mimi ni mwanafunzi niliyehitimu mwaka huu kozi ya ya uhandisi wa magari(degree) na nina GPA ya 2.8,, ndoto zangu siyo kufanya kazi Toyota au Scania au kampuni kubwa za magari, ila nataka...
Picha: Pinterest
Upendo wa mwalimu si kumfundisha mtoto tu bali hata kulinda heshima na hisia za mtoto kwa kuweka siri au faragha za wazazi wake.
Usitumie makosa ya mtoto na kufananisha na...
Niliomba chuo(TIA) na kupata nafasi. Aidha nilipangiwa campus ya Mwanza.
Nimefika kwa ajili ya Udahili naambiwa nimepangiwa chuo kimakosa, kozi hiyo haipo kwa hapa Mwanza natakiwa niende Dar es...
Mtumishi akienda kujiendeleza katika fani nyengine akirudi anafanyiwa re- categorization maana yake anahama na mshahara uleule au inakuaje? na kwanni halamashaur zinakataa kutoa ruhusa mtumishi...
Naombeni msaada wakubwa zangu mimi nampango wa kuhama chuo na mdahuohuo ni badili na kozi i.e kutoka DUCE kwenda udsm.
1: Je, inawezekana?
2: Changamoto zake ni zipi?
3: Je, inabi mchakato uanze...
Baadhi ya watu wamekuwa wakiuliza kuhusu Veta na jinsi gani wana toa elimu au wengine wana amini veta ni sehemu ya watu walio feli.
Veta wanatoa kozi mbali za mda mfupi na za mda mrefu kulingana...
Dear all, naombeni msaada ni hatua gani za kufuata endapo utapoteza vyeti vya taaluma, kuanzia cha kuzaliwa, SCEE, ACSEE na Professional certificates...
Vinahitajika na muajiri
Habari wanazengo mmeamkaje
Kijana wenu nimepata changamoto kidogo nimepoteza bahasha yangu yenye vyeti vyangu na kiukweli sijui nime misplace wapi bahasha ilikua na cheti cha form original ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.