Kati ya Supplimentary na Carry over ipi inawekewa nyota kwenye cheti ngazi ya chuo kikuu??

Kama kwenye Supp hawawek chochote sasa huwa wanajuaje kuwa course fulan ulisapu kwenye interview!! maana kuna kaz zngne huwa wanatangaza kuwa uwe hujawah kusapu,sas watajuaje???
 
Kama kwenye Supp hawawek chochote sasa huwa wanajuaje kuwa course fulan ulisapu kwenye interview!! maana kuna kaz zngne huwa wanatangaza kuwa uwe hujawah kusapu,sas watajuaje???
Kazi gani hiyo wanayosema uwe hujawahi kusupp?
 
Hakuna nyota ila hupati degree with honour. Ukidisco ndo unakuwa kama na nyota au alama hata uende chuo kingine wanajua
Na pia kufukuzwa chuo kwa matatizo ya kinidhamu ni ndo natambua ninayo mifano hai
 
Hahaha!!!first year washampiga mikwara huko hapo anawaza akipata supp ni mwisho wa dunia

Piga msuli mkuu ukipata supp au carry yote mema tu kwenye chet ni kuchek tu "class" gan uko
Shukran mkuu
 
PAMBANA
Anaeelewa kuhusu hli swa aje anitoe tongo tongo machon
Npo njia panda kujua ukwel juu ya hili.
Karibun wataalam
Hakuna Nyota yeyote iwekwayo kwenye transcript, Bali ukiwa na Ma "C" Mengi transcript yako inaonekana ulikuwa mtu wa Sup sana. Piga kitabu.

Kwa uhadhiri wanatazama vigezo vyao, Mara zote Ni G.P.A

Kingine jifunze kuandika maneno yakamilike, ukizoea kuandika uandikavyo utadharaulika baadae .
 
PAMBANA Hakuna Nyota yeyote iwekwayo kwenye transcript, Bali ukiwa na Ma "C" Mengi transcript yako inaonekana ulikuwa mtu wa Sup sana. Piga kitabu.

Kwa uhadhiri wanatazama vigezo vyao, Mara zote Ni G.P.A

Kingine jifunze kuandika maneno yakamilike, ukizoea kuandika uandikavyo utadharaulika baadae .
Ahsante sana mkuu kwa kunpa mwanga
 
Back
Top Bottom