Naomba Mnisaidie samahani!

Naomba Mnisaidie samahani!

la fiducia

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2016
Posts
212
Reaction score
169
Kwa yeyote anaekifaham Chuo cha uhamiaji moshi (Tanzania Regional Immigration Training Academy) (TRITA) au mwenye namba ama mawasiliano yeyoto anipe!

Au anisaidie kunipatia joining instruction au maelezo machache ya kujiunga chuoni hapo!

Nimepiga namba zao ambazo zipo kwenye system ya NACTE wameniambia zimekosewa niende nacte kuuliza! Nimekwenda NACTE nimeambiwa sio Chuo lazima wanitafute Mimi ila Mimi poa Nina wajibu wakutafuta taarifa za Chuo husika!

Sasa nawaomba samahani mwenye kukijua anipe maelekezo ni lini wanafunzi wanatakiwa kuripoti mana ata kwenye email hawatuma taarifa yeyoto!

Au kama kuna mtu yeyote amechaguliwa hapo na amefanikiwa tupeane taarifa!

Natumai majibu mazuri kutoka kwenu.

Ahsante!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom