Jocasta
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 475
- 600
Habarini wanaJF.
Nimeajiriwa mwaka jana kama mwalimu wa secondary. Baada ya kama miezi mitatu kuna tukio lilitendeka japo sikuhusika ilionekana mimi ndo chanzo. Mkuu alikuwa mkali hadi akanitamkia "utabaki kuwa hivo hivo bila cheo chochote shuleni".
Niliumia sana na mpaka sasa inajionesha live, kwani ananidharau kweli. Nifanyeje waungwana na ndo nina mwaka mmoja kazini?