Ruhusa ya kwenda kusoma.

Ruhusa ya kwenda kusoma.

VendoPatrick

Member
Joined
Jun 12, 2016
Posts
15
Reaction score
5
Eti ni kweli kwa in service anayetaka kwenda kusoma chuo am hatapata mshahara mpaka amalize masomo yake? Naomba msaada kwa anaefahamu.
 
mkuu,ni vizuri zaidi kama ukienda kupata uhakika kwa HR wako,atakuwa na maelekezo kamili
 
Kuna waraka ulikuwepo kuwepo unasema
Degree kwenda masters unapewa asilimia 90 ya mshahara
Diploma kwenda degree inatakiwa uchukue likizo ya bila malipo
Sijui kama ni kweli kahakikishe kwa mwajiri wako
 
Hizo ni tetesi za mtaani, zipuuze; wewe nenda shule na haki zako utapata kwa mujibu wa standing order kama kawaida
 
Back
Top Bottom