AJIRA ZA MECHANICAL KWA LEVEL YA DIPLOMA

AJIRA ZA MECHANICAL KWA LEVEL YA DIPLOMA

Crispin sam

Member
Joined
Oct 27, 2015
Posts
49
Reaction score
5
Jamani wakuu naombeni mnisaidie hili, hivi kwa diploma ya mechanical kwa Tanzania ajira zake zipo.
Nisaidieni hili ........
 
Kwa nini uliamua kusoma diploma ya mechanical engineering? Hili ni swali la msingi majibu yake ni fursa nzuri kwako kujiongeza.

Ki uhalisia hakuna ajira yeyote Bali ajira zinatengenezwa.
 
Ajira znatengenezwa how kjn ? Heb nieleweshe vzr hapo ?
 
Back
Top Bottom