Means walochgliwa first round majinaa yao yattkaa kbla ya hiyo tar 12..???
so majina yanatoka lini mdau? manake mtu unasubili kama unamgoja yesu
Poa jombaaa.. Mana ake mtàaa unachosaa aseeNdiyo maana yake jombaaa
Umesomaa hyoo kituu..??so majina yanatoka lini mdau? manake mtu unasubili kama unamgoja yesu
Vyuo vipo ving na haviwez kujaa tena vtakos watuMwaka huu sidhan kama hiyo second round itakuwa na uzito ..!!
Waombaji ni wengi sana kuliko mahitaji ya vyuo/kozi ..!!
Nadhan vyuo/ kozi, vitajaa hii first round.
Vyuo vipo ving na haviwez kujaa tena vtakos watu
VitapunguaHivi katika second round vitakuwepo vyuo vyote kama mwanzo kama ilivyokuwepo katika first round ?
Sawa mkuu ngoja tusubiri kwa sababu saivi ni tumbo joto japokuwa nina division two.Vitapungua
Samahani mkuu ....majina ya waliochaguliwa yakitoka ili kuangalia Nina login account yangu???????? Au utaratibu upoje mkuu??? Naomba kusaidiwaNilivyoelewa hapo mwaka huu kuna round mbili tu