Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba mawasiliano kwa MTU yeyote anayekifahamu chuo cha selikali za mitaa hombolo Dodoma no 0752006344
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Jamani naombeni ushauri kwa wanaojua kati ya hizi kozi mbili ipi ni nzuri zaidi ????
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Asalam aleykum JF Mdogo wangu kachaguliwa BUMBULI cotc ,napenda kujua tarehe ya kuripoti chuoni.Anayejua tafadhari !
0 Reactions
2 Replies
1K Views
diplo za udom ni lini zinatoka , mwenye kujua aseme
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Naomba mwenye namba za simu za Mkuu wa chuo cha ualimu sumbawanga anipatie Nina shida nae sana.ASANTE
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Mwanzoni, NACTE waliandika kwenye profile za watu, "kindly u have been selected" lakini kwa mara ingine tena leo wanaandika " kindly u have been provissionally selected to one of the choices...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Jf. Naomba kufahamu anayesoma Bachelor of Arts in Law Enforcement anafanya kazi gani kwenye soko la Ajira. Nataka niongeze kwenye list yangu wakati nafanya application.
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Habari wanajamii,kuna mtu yeyote katumiwa joining instruction kwenye email au kapigiwa simu,maana hawa nacte mwaka huu dahh wanazengua na muda unazidi kwenda.
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Kama umehitimu kidato cha sita PCB, PCM, CBG au PGM nakushauri uchague Bachelor of science in Optometry. Ni program mpya katika chuo cha KCMUCo, Moshi. Optometry ni eye health care professional...
2 Reactions
61 Replies
14K Views
Mention And Explain Five Institutions Which Undermine Women In Tanzania.
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu,Naomba kuuliza ipi course ya kilimo yenye maslahi zaidi ya kusoma degree kati ya hizi : 1 . Agriculture extension 2 . Horticulture 3 . General agriculture Naombeni michango yenu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenye kujua tafadhali kuhusu application za hawa jamaa unafanyaje anisaidie.. Nina mdogo wng anataka kusoma huko... Mwenye uelewa ani pm anipe msaada pls
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NI DIPLOMA GANI YA AFYA AMBAYO NI NZURI NINAWEZA NIKASOMA KWA MTU WA MWENYE ELIMU YA KIDATO CHA NNE? Ushauri please wadauu
0 Reactions
5 Replies
829 Views
Salama wadau? Mwenye kufahamu hii kozi changamoto zake na ugumu wake kwasababu watu wengi wanatuambia ni ngumu kuliko hata MD??? Nisaidieni
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Wadau naomba kuuliza vizuri kuhusu chuo cha mati igulusi manake kuna Dogo langu amechaguliwa huko katika fani ya LAND USE, sasa anahitaji kujua zaidi mazingira ya chuo kwasababu hadi sasa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Sina nia ya kumchafua mwl huyu mwenye asili ya Burundi anaitwa Prudence, ushahidi ninao. Anafundisha PHYSICS na CHEMISTRY form 5 & 6 pale SHINYANGA SEC kwa miaka mingi amekuwa akifelisha maskini...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wadau niemeingia katika profile yangu mda huu naona inafunguka wakati jana walisema system closed sasa sijui vip
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari za mchana??nilikuwa nauliza hii foundation course ya OPEN UNIVERSITY bado ipo? Kwa sababu nimepata tetesi kuwa hivi sasa hiyo course imeondolewa. Asanteni nawatakia mchana mwema
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom