Usiishi kwa kusikiasikia nenda kwa wahusika wakueleze vizuri sio watu wa mitaani.Habari za mchana??nilikuwa nauliza hii foundation course ya OPEN UNIVERSITY bado ipo?
Kwa sababu nimepata tetesi kuwa hivi sasa hiyo course imeondolewa.
Asanteni nawatakia mchana mwema
Acha uongoIpo ila imekuwa modified sasa inaitwa PRL
Soma advance usipende Urahisi kaza msuli.