NACTE: 'Kindly u have been provissionally selected to one of the choices'

ommky

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
459
224
Mwanzoni, NACTE waliandika kwenye profile za watu, "kindly u have been selected" lakini kwa mara ingine tena leo wanaandika " kindly u have been provissionally selected to one of the choices, hatujui mara nyingine wataandikaje tena, mwelewa au mtaalamu atoe msaada kwanini inakuwa hivi ?
 
Labda kuna kitu wanahakiki ndio maana umechaguliwa kwa muda kwanza ukute unasubiri subiri hadi kitu kiwe kamili
 
mwanzoni, nacte waliandika kwenye profile za watu, "kindly u have been selected" lakini kwa mara ingine tena leo wanaandika " kindly u have been provissionally selected to one of the choices, hatujui mara nyingine wataandikaje tena, mwelewa au mtaalamu atoe msaada kwanin inakuwa hivi ?
σчαα ѕσdσkα ndíσ kαpєwα mαjíвu nαctє mwαmвíє αkupє
 
Sasa hivi angalia tena wameandika clozed mi nimeona kwangu wakati walinichagua
 
Back
Top Bottom