Wenye ufahamu na hili,Baadhi ya vitabu wanaeleza kuwa shall inatumika kwa nafsi ya kwanza tu yaani(I & We) mf. I shall.... or We shall......
Lakini naona katika vision au mission za taasisi...
Ndugu wana Jukwaa kwanza nawasalimu wote wakubwa kwa Wadogo.,Mimi nimefanya application tar 10/8/2016 ya kujiunga na diploma chuo kikuu dodoma lakn hadi sasa nikicheki kwa Email yangu hakuna...
Jaman kuulza si ujinga hivi TCU wakishafunga dirisha lao huchukua muda gani kuja kutoa majina ya waliopata chuo kwa round ya kwanza...mwenye mawazo au uzoefu!
Habar wadau wa Jukwaa la Elimu,
Mimi ni mtanzania niko Mwanza hapa, siku chache zilizopita niliapply nchini Canada. Nimetuma application zote na sasa wameniambia niwatumie TOEFL form inayotumika...
Wadau naomba kujua mshahara elekezi uliopitishwa na TCU kwa wahadhiri wa vyuo vikuu. Nasikia kwamba kiwango cha chini kimewekwa kwa vyuo vyote, ni kiasi gani kwa mwezi?
jamani naombeni masaada wa vyuo vya binafsi na serikali vinavyotoa diploma ya maswala ya aridhi ila ambavyo vipo Morogoro au Dar-es-salaam
kwa anaevifahamu tafadhali anisaidie...
Wakuu natumaini ni wazima wa afya,naomba kuuliza ipi ni master's degree yenye market sana kati ya hizi?
1.Public health
2.Medical virology
3.Medical entomology & vector control
Naombeni michango...
chuo ndo mhimili mkubwa wa taifa lako ,kubadili alama za ufaulu baada ya paper ni moja ya ukatili Unaua huku unacheka (baghdad,2016). mwisho wa kunukuu
Habar wakuu,
Nimechaguliwa St. Joseph, boko jijin Dar.. ila nimeambiwa nitatumiwa joining instructions kwenye email yangu wiki ijayo na Chuo kitafunguliwa yapata mwez wa kumi,
Ninaomba kwa...
Habari wanajamvi,
Kama una mpango au nia ya kusomea engineering hasa Tanzania, hizi ndizo programmes zilizo na soko zaidi na future hasa kwa nchi yetu hii!!! Kwa kushirikiana na wadau wengine...
Naombeni kujua utaratibu na hatua za kuchukua pale chuo kinapodaili kozi ambazo hazipo au hazijasajiliwa katika chuo hicho. Mf: umedailiwa kozi fulani katika chuo fulani alafu inafika mwisho wa...
Habari zenu wakuu, kuna swali lanitatiza nina mdogo wangu kamaliza certificate ya ualimu mwaka huu ila nasikia eti walimu wote wa msingi wanatakiwa wawe na dipolma, je kuna ukweli wowote juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.