Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 286
- 117
Habari wanajamii,kuna mtu yeyote katumiwa joining instruction kwenye email au kapigiwa simu,maana hawa nacte mwaka huu dahh wanazengua na muda unazidi kwenda.
St.aggreyjoin instruction ya chuo gani sema
St.joseph university of engineeringSt.aggrey
we jaмaa ѕт.aggrey ya wap мвeya aυ ѕυмвawanga.....na ιpι ya υalιмυ aυ aғya?!St.aggrey
Calm mpk ln??You are therefore advised to stay calm and be patient while this process is taking place.
Si ndo apo ...basi wasingetuambia tareheCalm mpk ln??
Hawa jamaa ni majipuSi ndo apo ...basi wasingetuambia tarehe
Ndioooo mkuuu , mimi nina nduguyangu. leo kapigiwa simu na Chuo cha Water Development and Sanitation EngeringHabari wanajamii,kuna mtu yeyote katumiwa joining instruction kwenye email au kapigiwa simu,maana hawa nacte mwaka huu dahh wanazengua na muda unazidi kwenda.
Yani hata chuo chenyewe sikijui ninachoenda..sasa nitaingia vip web yaowamepata we ingia web ya chuo
kwan haujachaguliwa??Yani hata chuo chenyewe sikijui ninachoenda..sasa nitaingia vip web yao
Nimekua selected ila bado sijapigiwa simu na chuo wala kutumiwa smskwan haujachaguliwa??
be patientNimekua selected ila bado sijapigiwa simu na chuo wala kutumiwa sms
Tatzo muda unaenda,be patient