jana niliambiwa selections zimetoka lakini nikajaribu sikubahatika hata kuona student not found..mara nikasikia link imefungwa...mara tcu wame'deactivate tovuti yao..lakini hapa jukwaani naona watu wanasema wamechaguliwa mara duce..mara wapi...kwani nyinyi mmeyaona wapi...au ndo wale mliobahatika kuona jana? msaada tafadhali..