Mapigomoto
Member
- Jan 21, 2016
- 19
- 11
Mambo muhimu yanayochangia mtoto kupata elimu, yaani :
(1) ajue kusoma na kuandika,
(2) hisabati msingi
(3) elimu ya maarifa mbalimbali kwa maisha ya umri wake.
Yafuatayo yachukuliwe kuwa ni mambo chanya kupata elimu bora:
(a) vitabu bora (kiada na ziada)
(b) walimu bora
(c) majengo (madarasa)
(d) madawati
(e) mipango mizuri shuleni ya kuendesha shule
Baada ya hapo tutathmini elimu yetu kwa mambo hayo tu.
Tusitathmini ubora wa elimu kwa kufuata tofauti za watoto kwa misingi ya jinsi walivyolelewa kama vile kuangalia:
(a) watoto wa mjini
(b) watoto wa vijijini
(c ) watoto matajiri
(d) wazazi maskini
(e) wazazi waliosoma
(f) wazazi wasiosoma
(g) familia zenye dini
(h) familia pagani
(i) familia zenye ndoa hadi leo
(j) familia ambazo ndoa zimeharibika
(k) watoto ambao wazazi wao wamefariki
(l) watoto wa mitaani na
(m) familia ambazo zina ugomvi kila siku.
Halafu kutoa taarifa au ripoti kwa vigezo hivyo.
Tafiti kama hizo kusudi lake ni nini? Tafiti kama hizo hazisaidii kukuza elimu.
Umasikini au utajiri katika ngazi ya familia isiwe kigezo cha kutathmini ubora wa elimu.
Hali tofauti tofauti za maisha waachiwe watawala mbalimbali katika taifa.