Msaada kweli inawezekana kuchaguliwa mara 2 kwenye selection

ivunya

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
2,286
2,199
First selection nacte Kuna ndugu yangu kwenye profile yake Kuna chuo kachaguliwa certificate ya ualimu primary chuo kimoja kipo morogoro, baada ya Muda kapigiwa simu na chuo kingine kutoka dar kiliwepo katika orodha ya vyuo alivyochagua wao wakamwambia kuwa nacte walipeleka majina ya waombaji chuo, hiko chuo nacho wakamchagua certificate ya ualimu primary na join instruction wamemtumia. Chuo kilichopo morogoro nacho wakampigia simu ili athibitishe kuchaguliwa kwake.
nacte wameonesha chuo alicho chaguliwa katika profile yake chuo kilichopo morogoro siyo cha dar, wazazi wake wamemuambia aende chuo cha dar ambacho ajachaguliwa kwenye profile yake
Qns Kuna tatizo lolote endapo akienda kwenye chuo cha dar na kukiacha kile chuo kilichopo kwenye profile yake alicho chaguliwa.
 
Si anamawasiliano ya vyuo vyote, kwa hiyo awapigie pote ili ajue jina lake lipo wapi na awaeleze mbona kwenye profile kaonyeshwa chuo!!!!
 
Si anamawasiliano ya vyuo vyote, kwa hiyo awapigie pote ili ajue jina lake lipo wapi na awaeleze mbona kwenye profile kaonyeshwa chuo!!!!
Asante kwa USHAURI ngoja niwafahamishe kuwa awapigie VYUO vyote na nacte pia kwa taarifa zaidi maana wazazi wanataka kijana wao aende chuo cha Karibu ambacho ajapangiwa kwenye profile yako.
 
yawezekana kuchaguliwa hata mara 12 kwa serikali hii kumbuka wale wakuu wa wilaya na MIKOA walichaguliwa mara 2 hapo serikalini.



swissme
 
Back
Top Bottom