thomaskitomari
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 472
- 204
Wakuu vip kama wameruhusu kuanzia tar 12 watu waapply tena vip mbona selection bado?? au kama kuna wa diploma aliyekwisha ona amechaguliwa tujulishane wadau, kwenye profile naona wameniandikia system is current running, Tujulishane plz tusije chelewa second round