Abuu Hafswa
Member
- Sep 29, 2016
- 82
- 19
Wadau nisaidieni katika ili
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Nakuchua Diploma ya C.O ktk private college , kutoka na gharama mi kubwa sana nahisi kuinzia njiani.
Nilikuwa naomba kufahamisha kufanya transfer kwenye government ama chuo chenye Ada nafuu.