HEBU TUANGALIE UPANDE WA MWANAFUNZI
Anaandika Tif wa kusini
Tukianzia na nyumbani kwake inasemekana mwanafunzi huyu anatabia sio nzuri hata kwa wazazi wake.Hii imempelekea hata wazazi wake kumkatia tamaa kwani ilifika kipindi mwanafunzi huyu aliwahi kugombana na wazazi wake.
Kwa hili la shule huyu mwanafunzi ni miongoni mwa mwanafunzi ambaye hakufanya "assignment" iliyo tolewa na mwalimu hii ni story kamili "Kiukweli dogo kabla ya pale, alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzie wamechapwa ambao wote hawakufanya zoezi darasani alipohojiwa akamjibu vibaya mwal katika kumshika wamchape akampa ngumi ya mdomo mwalimu. Ilibidi Wamchukue wampeleke ofisini lakini mwl aliyepigwa ngumi awali alirudi darasani kutuliza wanafunzi wengine. Alipoona wametulia alianza kurudi ofisini kumbe yule dogo pale ofisini alipoona walimu wamebaki wawili tu akawapa dozi ya ngumi wakamshindwa. Akaanza kutoka nje ya ofisi anakimbia yule mwalimu alikuwa darasani akamuona na kumuwahi ukapigwa mkono kidogo akammudu na kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Walimu kadhaa wakiwa wanaugulia maumivu" Hadi hapo tunaona ni kwa kiasi gani wanafunzi walivyo huko mashuleni na walimu wanavyo pata changamoto dhidi ya mwalimu.
NA KWA UPANDE WA MWANAFUNZI BAADA YA TUKIO
Unajua kwa huyu dogo yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu ndo maana siku11 toka tukio limetokea wala hajaripoti. Hata home hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe. Achilia mbali hayo ameshavunja tv ya dingi yake home wiki mbili zilizopita. Wiki hili amekamatwa na walimu akivuta bangi shuleni na wenzake. Baba yake anasema simtaki huyu nyumbani kwangu. Hivyo tusiangalie mtu alipojikwaa tuangalie pia source ya kujikwaa. Tunapotoa maamuzi tuangalie mambo kwa ujumla wake"
ADHABU AU KIPIGO
Walimu hawakuwa fear ingawa bado na kulingana na ukorofi wa mwanafunzi hiyo kuna ngazi nyingi sana za ki "administration"zilipaswa kufuatwa kabla kufika huko kote maana huyu mwalimu baada ya kugomewa na huyu mwanafunzi hatua ambayo ingefata ilikuwa ni kwenda kwa mwalimu ambaye amemkabidhi darasa hapo ingekuwa ni njia sahihi dhidi ya huyu mwanafunzi.
KWA WANAFUNZI WOTE TANZANIA
Msi take advantage kwa swala hili hata siku moja tiini majukumu yenu kama wanafunzi...lakini pia fateni kilicho shuleni mkasome.
NIMEICOPY UKURASA WA FB WA MWANAKIJIJI MWANAKIJIJI LUGUSI